Introduction to the Gospel according to Matthew

(Pioneer Bible Translators and The Word for the World use the following introduction in many of their translation projects around the world.)

The Gospel according to Matthew is one of four books in the New Testament that describe the life of Jesus Christ. Each one of them is called a “gospel,” which means “good news.” They were written after Jesus’ death by Matthew, Mark, Luke, and John. Scholars do not know the exact date when the gospel according to Matthew was written, but it was possibly sometime around 60 years after the birth of Christ. Also, the place where it was written is not known, but many guess that it was written in Palestine and maybe even in the city of Jerusalem.

The author is Matthew, who was a tax collector before Jesus asked him to become his disciple. He was also known by the name Levi. Matthew was one of the twelve Apostles and he wrote for Jewish readers. This can be clearly seen by over 60 references to Old Testament Scriptures. He intended to show that Jesus was the Messiah, God’s chosen savior, who was prophesied about. Matthew also wrote a lot about the kingdom of God. Jews expected the Messiah to become king of a political kingdom. Matthew takes great care to challenge that belief by describing the spiritual kingdom of God.

The gospel according to Matthew is a good book to start the New Testament because of all of its references to the Old Testament. It connects the two Testaments. Scholars have also suggested that Matthew may have been trying to imitate the form of the books of Moses, which are the first five books of the Old Testament.

Outline:

1. Matthew starts the gospel by telling about the birth of Jesus Christ and the beginning of his ministry in chapters 1-4.
2. Next Matthew describes the ministry of Jesus and many of his teachings in chapters 5-25.
3. The final section of Matthew is about the peak of Jesus’ ministry in his death and resurrection (26-28).

This work is owned by Pioneer Bible Translators International and The World for the World International and licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 Unported License .

Translation: French

Introduction à l’évangile selon Mathieu

L’évangile selon Mathieu est un des 4 livres du Nouveau Testament qui décrivent la vie de Jésus-Christ. Chacun s’appelle un « évangile », ce qui veut dire « bonne nouvelle ». Ils étaient écrits après la mort de Jésus par Mathieu, Marc, Luc et Jean. Les spécialistes ne savent pas la date exacte à laquelle Mathieu a écrit son évangile, mais il se peut qu’il l’ait écrit environ 60 ans après la naissance du Christ. En outre, nous ne savons pas où l’évangile était écrit, mais beaucoup supposent que c’était en Palestine et peut-être même à Jérusalem.

L’auteur est Mathieu, qui était collecteur d’impôts avant que Jésus lui ait demandé de devenir un disciple. Il est connu aussi sous le nom de Lévi. Mathieu était un des douze disciples et a écrit pour des lecteurs juifs. Ceci est démontré par les références de l’Ancien Testament, dont l’évangile contient plus de 60. Mathieu avait l’intention de montrer que Jésus est le Messie, le Sauveur choisi de Dieu, dont la venue avait été prophétisée. Mathieu a aussi beaucoup écrit sur le royaume de Dieu. Les juifs s’attendaient que le Messie soit le roi d’un royaume politique. Mathieu conteste attentivement cette croyance en décrivant le royaume spirituel de Dieu.

L’évangile selon Mathieu est un bon livre pour commencer le Nouveau Testament grâce à ses références à l’Ancien Testament. Il lie les deux testaments. En plus, des érudits ont suggéré que Mathieu essayait d’imiter le forme des livres de Moïse, les premiers cinq livres de l’Ancien Testament.

Plan de l’évangile

1. Mathieu commence son évangile en racontant la naissance de Jésus-Christ et le début de son ministère (chapitres 1-4)
2. Après, Mathieu décrit le ministère de Jésus et raconte beaucoup de ses enseignements (chapitres 5-25)
3. La dernière partie de Mathieu concerne le point culminant du ministère de Jésus : sa mort et sa résurrection (chapitres 26-28)

Translation: Swahili

Utangulizi wa Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo

Injili kama ilivyoandikwa naMathayo ni moja ya vitabu vinne katika Agano Jipya vinavyoelezea maisha ya Yesu Kristo. Kila kimoja cha vitabu hivyo kinaitwa “injili,” neno lenye maana ya “habari njema.” Vitabu hivi viliandikwa baada ya kifo cha Yesu na Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Wasomi hawajui ni wakati gani hasa Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo iliandikwa, lakini yawezekana kabisa kwamba iliandikwa katika mwaka wa 60 baada ya kuzaliwa Yesu Kristo. Kingine ni kwamba mahali ilipoandikiwa hapajulikani kwa uhakika, lakini wengi wanadhani kwamba iliandikwa katika nchi ya Palestina, na inawezekana kiliandikwa katika mji wa Yerusalemu.

Mwandishi ni Mathayo, mtu ambaye kabla ya Yesu kumwita awe mwanafunzi wake alikuwa ni mtoza ushuru. Alijulikana pia kwa jina la Lawi. Mathayo alikuwa mmoja wa mitume kumi na wawili naye aliiandika injili yake akiwalenga wasomaji wa Kiyahudi. Hili linathibitika kwa kuona kwamba kuna nukuu zaidi ya 60 kutoka katika Maandiko ya Agano la Kale. Alikusudia kuonyesha kwamba Yesu alikuwa ndiye Masihi, mwokozi mteule wa Mungu, ambaye manabii walinena habari zake. Mathayo pia aliandika mengi yahusuyo ufalme wa Mungu. Wayahudi walimtarajia Masihi awe mfalme wa dola ya kisiasa. Mathayo kwa tahadhari na uangalifu mkubwa alikwenda kinyume na dhana hiyo kwa kuuelezea ufalme wa kiroho wa Mungu.

Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo ni kitabu kinachofaa kuwa mwanzo wa Agano Jipya kwa sababu ya nukuu zake nyingi kutoka Agano la Kale. Ni kiunganishi kizuri kati ya Maagano mawili. Wasomi wamependekeza kwamba yamkini Mathayo alikuwa anajaribu kuiga mfumo wa vitabu vya Musa, ambavyo ni vitabu vitano vya kwanza vya Agano la Kale.

Muhtasari

1. Mathayo anaianza injili kwa kuelezea habari za kuzaliwa kwa Yesu Kristo na mwanzo wa huduma yake katika sura 1-4.
2. aada ya hapo Mathayo anaelezea huduma ya Yesu na mengi ya mafundisho yake katika sura 5-25.
3. Sehemu ya mwisho ya injili kama ilivyoandikwa na Mathayo inahusu kilele cha huduma ya Yesu kinachoonekana katika kifo na kufufuka kwake (26-28).