(Pioneer Bible Translators and The Word for the World use the following introduction in many of their translation projects around the world.)
2 Corinthians was written by the Apostle Paul around 55-56 after the birth of Christ (1:1). This is the second of two letters we have that Paul wrote to the church in Corinth. Scholars believe that Paul had previously written a severe letter to the Corinthians. We do not have any copies of this letter to which he refers in 2:3–4. 2 Corinthians was most likely written when Paul was in Macedonia (2:13).
2 Corinthians is unique in that it is a very personal and emotional letter. Paul expresses his joy about the good report he received from Titus about the church in Corinth. In this letter, we find detailed teaching about giving from a New Testament perspective, in the section where Paul gives instructions for a collection of money to be taken up to help the believers in Jerusalem (8-9). It seems that some false apostles from outside the church were using the hostility of certain people in the church against Paul to promote themselves. They were casting doubt on Paul’s authority, which may be what prompted him to strongly affirm his authority as an apostle of Jesus Christ towards the end of the letter.
Outline:
1. Paul begins his letter by greeting the church (1:1-7).
2. Next Paul talks about his change in travel plans and the report he received about them and their response to his previous letter (1:8-7:16).
3. After that, Paul gives instructions concerning the collection of money for the believers in Jerusalem (8:1-9:15).
4. Finally, Paul gives a defense for his apostleship and gives warnings about his next visit (10:1-13:10)
La deuxième lettre aux Corinthiens a été écrite par l’apôtre Paul environ 55 -56 ans après la naissance de Christ (1 :1). C’est la seconde des deux lettres que nous avons que Paul a écrites à l’église à Corinthe. Les experts croient que Paul avait écrit précédemment une lettre sévère aux Corinthiens. Aucune copie de cette lettre n’existe plus, mais Paul en fait mention (2 :3-4). Il est très probable que Paul a écrit la lettre quand il séjournait en Macédoine (2 :13).
2 Corinthiens est unique en ce qu’elle est une lettre très personnelle et pleine d’émotion. Paul exprime la joie qu’il a ressentie en entendant le bon rapport qu’il a reçu de Tite au sujet de l’église à Corinthe. Dans cette lettre nous trouvons des enseignements minutieux au sujet de la collecte dans la perspective du Nouveau Testament et spécialement dans la section où Paul donne des instructions qu’on fasse qu’une collecte soit prise pour aider les croyants qui étaient à Jérusalem. (8-9) Il parait qu’il y avait de faux apôtres, venus du dehors de l’église profitaient de l’hostilité que certaines personnes dans l’église avaient envers Paul pour se mettre elles-mêmes en avant. Elles mettaient en doute l’autorité de Paul ; c’est ce qui l’a poussé probablement vers la fin de la lettre à affirmer vigoureusement l’autorité qu’il avait comme apôtre de Jésus- Christ.
Résumé
1.Paul commence sa lettre en saluant l’église (1 :1-7)
2. Ensuite Paul écrit au sujet du changement de ses plans de voyage, du rapport qu’il a reçu à leur sujet et de leur réponse à sa lettre précédente (1 :8 – 7 :16).
3. Après cela, Paul donne des instructions concernant la collecte pour les croyants qui se trouvent à Jérusalem (8 :1 – 9 :15).
4. Enfin, Paul fait la défense de sa position comme apôtre et donne des avertissements de sa prochaine visite. (10 :1 – 13 :10)
Translation: Swahili
Utangulizi wa kitabu cha 2 Wakorintho
Kitabu cha 2 Wakorintho kiliandikwa na Mtume Paulo kati ya mwaka 55 na 56 baada ya kuzaliwa Yesu Kristo (1:1). Hii ni barua ya pili kati ya zile tulizonazo zilizoandikwa na Paulo kwa kanisa la Korintho. Wasomi huamini kwamba Paulo alikuwa punde kidogo amewaandikia Wakorintho barua kali sana. Hatuna nakala yoyote ya barua hii ambayo Mtume Paulo anaitaja katika sura 2:3-4. 2 Wakorintho yawezekana iliandikwa wakati Paulo alipokuwa Makedonia (2:13).
2 Wakorintho ni barua ya kipekee kwani inaeleza mengi yanayomhusu Paulo mwenyewe pamoja na hisia zake. Paulo anaelezea furaha yake iliyotokana na habari njema kuhusu kanisa la Korintho alizozipokea kutoka kwa Tito. Ndani ya barua hii, tunapata mafundisho ya kina kuhusu suala la utoaji kwa mtazamo wa Agano Jipya, katika sehemu ambamo ndani yake Paulo anatoa maagizo kwa ajili ya changizo ya fedha kufanyika ili kuwasaidia waumini waliokuwa Yerusalemu (8-9). Inaonekana kwamba baadhi ya mitume wa uwongo waliokuwa si wa kanisa walitumia chuki walizopandikiza ndani ya watu wa kanisa dhidi ya Paulo, kwa lengo la kujijengea umaarufu wao binafsi. Walijaribu kuwafanya watu waone mashaka kuhusiana na mamlaka ya kitume ya Paulo, jambo lililomfanya atumie kauli zenye nguvu mwishoni mwa 2 Wakorintho kuthibitisha mamlaka yake yeye mwenyewe kama mtume wa Yesu Kristo.
Muhtasari:
1. Paulo anaanza kuiandika barua yake kwa kulisalimu kanisa (1:1-7).
2. Kisha Paulo anazungumzia mabadilko ya mipango ya safari zake, na taarifa zinazowahusu alizozipokea, na mwitikio wao juu ya barua yake iliyotangulia (1:8-7:16).
3. Baada ya hapo, Paulo anatoa maagizo kuhusu changizo la fedha kuwasaidia waumini walioko Yerusalemu (8:1-9:15).
4. Mwishoni, Paulo anatoa utetezi kwa ajili ya utume wake, na anatoa maonyo juu ya safari yake iliyokuwa inakaribia (10:1-13:10)