Step into the multitudes of languages of the Bible and join the worldwide conversation!
Introduction to Revelation
(Pioneer Bible Translators and The Word for the World use the following introduction in many of their translation projects around the world.)
The book of Revelation is the last book in the New Testament. It was also written last around 95 years after the birth of Christ, by the Apostle John (1:1). He also wrote The Gospel according to John and the three letters 1 John, 2 John, and 3 John. John was also known as the one “whom Jesus loved” (John 13:23). He wrote the book of Revelation while on the Island of Patmos because has was exiled there for preaching the good news of Jesus Christ (1:9).
John’s goal in writing the book of Revelation is to encourage the readers to remain faithful to Jesus Christ and to give them hope because the time of Jesus’ returning is near (1:3, 22:7). He wrote to all Christians generally and seven specific churches in chapters 2-3. John labels his own writing as prophecy (1:3) and uses many images throughout the book to describe the things he saw. The book is similar to some sections of the Old Testament, specifically Zechariah 6:1–8. The seven trumpets and seven bowls are also very similar to the plagues which God sent to punish Egypt (Exodus 7-9). Revelation talks about the end of time, that Jesus will be victorious, and all who put their trust in him will live forever with him. Let this book warn you and give you hope that Jesus is returning soon.
Outline:
1. John starts by saying who he is and how he received this prophetic vision (1:1-1:20).
2. He gives a message directly from Jesus to seven churches (1:1-3:22).
3. Then he describes the seven seals (4:1-8:5) and the seven trumpets (8:6-11:19).
4. After this John describes the male child’s battle against the dragon with seven heads (12:1-14:20).
5. Then he writes about the seven bowls of wrath (15:1-16:18).
6. Next John describes how God wins against his enemies in heaven (17:1-20:15).
7. Finally he describes the new heaven and new earth which will come in the end (21:1-22:21).
Le livre de l’Apocalypse est le dernier livre dans le Nouveau Testament. Il a aussi été écrit en dernier par l’apôtre Jean (1 :1) environ 95 ans après la naissance de Christ. Il a aussi écrit l’Evangile selon Jean et les trois lettres 1 Jean, 2 Jean et 3 Jean. Jean était connu aussi comme le disciple « que Jésus aimait » (Jean 13 :23). Il a écrit le livre de l’Apocalypse depuis l’île de Patmos parce qu’il avait été exilé là-bas pour avoir prêché la bonne nouvelle de Jésus-Christ (Apocalypse 1 :9).
Le but de Jean en écrivant le livre de l’Apocalypse est d’encourager les lecteurs à rester fidèles à Jésus-Christ et de leur donner de l’espoir parce que le moment du retour de Jésus est proche (1 :3) ; 22 :7). Il écrivait à tous les chrétiens en général et aux sept églises en particulier dans les chapitres 2—3. Jean qualifie son propre récit de prophétie (1 :3) et il utilise de nombreuses images tout au long du livre pour décrire les choses qu’il avait vues. Le livre est semblable à certaines parties de l’Ancien Testament, spécifiquement à Zacharie 6 :1-8. Les sept trompettes et les sept coupes sont aussi très similaires aux fléaux que Dieu avait envoyés pour punir l’Egypte (Exode 7-9). L’Apocalypse parle de la fin du temps, que Jésus sera victorieux et que tous ceux qui mettent leur confiance en lui vivront avec lui pour l’éternité. Que ce livre vous mette en garde et vous donne l’espérance que Jésus revient bientôt.
Résumé
1. Jean commence par dire qui il est et comment il a reçu la vision prophétique (1 :1-1 :20).
2. Il donne un message reçu directement de Jésus aux sept églises (1 :1-3 :22).
3. Il décrit ensuite les sept sceaux (4 :1-8 :5) et les sept trompettes (8 :6-11 :19).
4. Après ceci Jean parle de la femme poursuit par le dragon, de deux bêtes, et de l'agneau (12 :1-14 :20).
5. Puis il parle des sept coupes de la colère (15 :1-16 :21).
6. Après, Jean décrit comment Dieu gagne contre ses ennemis dans le ciel (17 :1-20 :15).
Translation: Swahili
Utangulizi wa kitabu cha Ufunuo
Kitabu cha Ufunuo ndicho kitabu cha mwisho ndani ya Agano Jipya. Kilikuwa pia kitabu cha mwisho kuandikwa na Mtume Yohana katika mwaka wa 95 baada ya kuzaliwa Yesu Kristo (1:1). Yeye aliandika pia Injili kama ilivyoandikwa na Yohana, na barua tatu, yaani 1 Yohana, 2 Yohana, na 3 Yohana. Yohana pia alijulikana kama mtu “ambaye Yesu alimpenda” (Yohana 13:23). Yeye allikiandika kitabu cha Ufunuo akiwa katika Kisiwa cha Patmo kwa kuwa alikuwa amewekwa kizuizini huko kutokana na lililoonekana kuwa kosa lake la kuhubiri habari njema za Yesu (1:9).
Lengo la Yohana katika kukiandika kitabu cha Ufunuo ni kuwatia moyo wasomaji waendelee kuwa waaminifu kwa Yesu Kristo na kuwapa tumaini kwa sababu kurudi kwa Yesu Kristo kunakaribia (1:3, 22:7). Kwa jumla aliiandika barua hii kwa Wakristo wote, na maalumu kwa makanisa saba yanayotajwa katika sura 2 hadi 3. Yohana anaweka kitambulishi juu ya maandiko yake mwenyewe kwa kuyaita ufunuo (1:3) na anatumia mifano ya vitu vingi vinavyoonekana karibu kila mahali ndani ya kitabu chake ili kuelezea mambo aliyoyaona. Kitabu hiki kinafanana na baadhi ya sehemu katika Agano la Kale, hasa kitabu cha Zakaria 6:1-8. Tarumbeta saba na vitasa saba pia vinafanana na yale mapigo yaliyoletwa na Mungu kwa lengo la kuiadhibu Misri (Kutoka 7-9). Kitabu cha Ufunuo kinaeleza habari za mwisho wa ulimwengu, na kuonyesha kwamba Yesu atakuwa ndiye mshindi, na kwamba wale wote wanaoweka tumaini lao kwake wataishi milele pamoja naye. Ruhusu kitabu hiki kikuonye na kukupa tumaini la uhakika kwani kurudi kwa Yesu kunakaribia.
Muhtasari:
1. Yohana anaanza kwa kujieleza yeye ni nani na jinsi alivyopokea maono haya ya kinabii (1:1-1:20).
2. Anatoa ujumbe unaotoka moja kwa moja kwa Yesu kwenda kwa makanisa saba (1:1-3:22).
3. Kisha anaeleza habari za mihuri saba (4:1-8:5) na tarumbeta saba (8:6-11:19).
4. Baada ya tukio hili Yohana anaeleza habari ya vita kati ya mtoto mdogo wa kiume na joka lenye vichwa saba (12:1-14:20).
5. Kisha anaandika habari za vitasa saba vya ghadhabu ya Mungu (15:1-16:18).
6. Baadaye Yohana anaelezea jinsi Mungu anavyoshinda vita juu ya adui zake mbinguni (17:1-20:15).
7. Hatimaye Yohana anaeleza habari za mbingu mpya na nchi mpya zitakazokuja mwishoni (21:1-22:21).